Jaji Mfawidhi
kanda ya Bukoba Mhe. Sivangilwa Mwangesi akisoma hotuba yake wakati wa kuadhimisha
siku ya sheria nchini mkoani Kagera.
Meza
kuu katika siku ya sheria, ikiongozwa na Jaji Mfawidhi mhe. Sivangilwa
Mwangesi, kanda ya Bukoba.
Baadhi
ya waheshimiwa Mahakimu wa mahakama kanda ya Bukoba Mkoani Kagera wakijiandaa
kwa ajili ya maandamano kuadhimisha siku ya sheria nchini.
Wanakwaya
wa Mahakama kanda ya Bukoba wakitumbuiza katika siku ya sheria.
Mhe. Denis John
Mpelembwa, Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba akitoa elimu
ya sheria kwa mwananchi katika wiki ya sheria.
Baadhi ya wananchi
waliojitokeza kupata elimu ya sheria katika maadhimisho ya wiki ya sheria kanda
ya Bukoba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni