AHADI YA SH. BILION 12.3 YA RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI YA MAOMBI YA UENDESHAJI WA MAHAKAMA YATIMIA
Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango (katikati) akiwakabidhi Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Amon Mpanju (Kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Hussein Kattanga Cheki ya Sh. Bilion Kumi na mbili na Milion miatatu ikiwa ni kutimiza ahadi ya Rais Dr. John Joseph Pombe Magufuli aliyoahidi siku alipokuwa mgeni rasmi siku ya Mahakama hapa nchini ikiwa ni siku tano tu tangu siku ya kuhaidi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni