Jumatatu, 28 Machi 2016

MENEJIMENTI YA MAHAKAMA YA TANZANIA IKIKAGUA MRADI WA UJENZI KIBAHA.

Menejimenti ya Mahakama wametumia siku ya Jumatatu ya Pasaka kutembelea miradi ya Ujenzi wa Mahakama Kanda ya Dar es Salaam



Pichani ni sehemu ya wajumbe wa Management wakikagua ujenzi wa Mahakama ya Kibaha. Wakiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Mahakama



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni