Mhe.
Jaji Salum A. Massati (katikati), Mhe. Jaji Imani D. Abood (kushoto), Mhe. Jaji
Sophia A. Wambura (kulia), katika picha ya pamoja na wajumbe waalikwa kwenye
warsha yenye lengo la kujadili na kupitisha kitini cha kufundishia kinachohusu
mambo ya Haki za Binadamu na Unyanyasaji ama Ukatili dhidi ya Wanawake na
Watoto, iliyofanyika katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto – IJA.
Wajumbe wa Warsha wakiwa wamesimama kumkaribisha
mgeni rasmi Mhe. Jaji Salum A. Massati, Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Mhe.
Wanjah A. Hamza Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Temeke, mjumbe aliyekuwepo kwenye
warsha kujadili na kupitisha kitini cha kufundishia kinachohusu mambo ya Haki
za Binadamu na Unyanyasaji ama Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto,
iliyofanyika katika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto – IJA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni