Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na Mhe. Jaji Lameck
Mlacha alipowasili Mwanza tayari kwa kuanza ziara ya kukagua shughuli za
Mahakama katika kanda ya Mwanza.
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisaini kitabu cha wageni mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akizungumza na Jaji Mfawidhi wa
Mwanza Mhe. Robert Makaramba alipowasili jijini Mwanza tayari kuanza ukaguzi wa
shughuli za Mahakama katika Kanda ya Mwanza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni