Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akizungumza
na Watumishi wa Mahakama ya Ardhi,
kulia ni Jaji Mfawidhi Mhe. Gad Mjemmas.
|
Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinard Wambali akisalimiana na Wahe. Majaji wa Mahakama Divisheni ya Ardhi alipotembelea katika Mahakama hiyo. |
Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Jaji Mfawidhi Mahakama ya Ardhi alipotembelea Mahakama
hiyo.
|
Baadhi ya Majaji na Maofisa wa Mahakama
wakimsikiliza Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand
Wambali.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni