Watumishi
wapya waliopokelewa katika Mahakama kanda ya Tanga wakisoma baadhi ya miongozo
itakayowasaidia katika kufanya kazi Mahakamani.
Mtendaji
wa Mahakama ya Mkoa wa Kigoma Bw. Fidelis Jallady (katikati) akiwapa nasaha zake watumishi wapya
walioajiriwa na Mahakama kwa Kanda ya Kigoma.
Baadhi
ya watumishi wapya waliopokelewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa
ajili ya usajili wa taarifa za kiutumishi mkoani Kigoma.
Baadhi
ya watumishi wapya wa kada mbalimbali walioripoti Mahakama Kuu Kanda ya Moshi.
Baadhi
ya watumishi wapya wa kada mbalimbali walioripoti Mahakama ya Hakimu Mkazi Katavi wakiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji wa Katavi Bw. Ipyana I. Kakuyu (katikati).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni