MAHAKAMA YA MWANZO MKOA WA KIGOMA YAPOKEA BAISKELI 30 KWA AJILI YA USAMBAZAJI HATI ZA KUITWA MAHAKAMANI.
Afisa Utumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma, Bw. Andes
Amos Mutwe akikagua jumla baiskeli 30 zilizofika katika Mahakama
hiyo Septemba 14,mwaka huu kwa ajili ya
kuwezesha zoezi la usambazaji wa hati za kuitwa mahakamani(Summons)
katika Mahakama ya Mwanzo mkoa wa Kigoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni