1 Mkurugenzi
Msaidizi Utawala na Mratibu wa Programu ya mradi wa
mapambano dhidi ya rushwa (STACA)
kutoka Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta (kulia) akimkabidhi Katibu Msaidizi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Enziel Mtei (kushoto) kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania, Bwana. Hussein Kattanga bango la Mahakama ya Tanzania kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kutoa
malalamiko kuhusu vitendo vya ukiukaji wa maadili na vitendo vya rushwa.
1
Mkurugenzi
Msaidizi Utawala na Mratibu wa Programu ya
mradi wa mapambano dhidi ya
rushwa (STACA) Mahakama ya
Tanzania, Wanyenda Kutta(kulia) akimkabidhi Katibu Msaidizi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Enziel Mtei (kushoto) kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania, Bw. Hussein Kattanga simu iliyotolewa na Mahakama ya Tanzania kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kutoa
malalamiko kuhusu vitendo vya malalamiko
ya ukiukaji wa maadili na vitendo vya rushwa.
Mkurugenzi
Msaidizi Utawala na Mratibu wa Programu ya
mradi wa mapambano dhidi ya
rushwa (STACA) Mahakama ya
Tanzania, Wanyenda Kutta(kulia) akimkabidhi, Mratibu wa Dawati la Malalamiko - Tume ya Utumishi wa Mahakama, Bwire Munubi, kwa niaba ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania, Bw. Hussein Kattanga simu iliyotolewa na Mahakama ya Tanzania kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kutoa
malalamiko kuhusu vitendo vya ukiukaji wa maadili na vitendo vya rushwa, aliyepo (katikati) Katibu Msaidizi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Enziel Mtei.
Katibu Msaidizi wa Tume ya Utumishi wa Mahakama, Enziel Mtei (kushoto) akitoa neno la shukrani mara baada ya makabidhiano hayo na (kulia) ni Mkurugenzi Msaidizi Utawala na Mratibu wa Programu ya mradi wa mapambano dhidi ya rushwa (STACA) kutoka Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta(kulia).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni