Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe.
Ferdinand Wambali (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Naibu Msajili
Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania – Divisheni ya Kazi, Maximillian
Malewo (kulia) kuhusu ofisi mbalimbali za Mahakama hiyo mara baada ya kuitembelea tarehe 09.09.2016. Wengine ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Katarina
Revocati (wa tatu kushoto). Mwingine ni Mtunza
Kumbukumbu wa Mahakama Kuu ya Tanzania –
Divisheni ya Kazi, Halima Lema (wa pili kushoto). Mahakama hiyo ipo eneo la Kinondoni kwa Manyanya jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni