Mkurugenzi Mkuu wa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa, nchini ,
Bw.Valentino Mlowola (TAKUKURU) (aliyepo upande wa kulia) akipokea Bango
la Mahakama ya Tanzania kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi
Utawala (katikati) , Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta. Kushoto ni Afisa
Utumishi, Mahakama ya Tanzania,Bi. Mwajuma Suru.Makabidhiano hayo
yalifanyika leo kwenye Makao Makuu
ya TAKUKURU yaliyopo jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni