Jumatano, 24 Agosti 2016

OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM YAKABIDHIWA MABANGO YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA



Mhe. Eva Nkya, Naibu Msajili Mwandamizi, Mahakama Kuu ya Tanzania (kulia) pamoja na Bi. Mary Shirima, Mtendaji, Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam (kushoto) wakikabidhi bango la Mapambano dhidi ya rushwa kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Theresia Mmbando, (katikati) mabango hayo ambayo yana namba za simu kuwezesha wananchi kupiga simu yamesambazwa nchi nzima lengo likiwa ni kudhibiti ukiukwaji wa maadili hususani rushwa.
 Wakikabidhi simu maalum kwa ajili ya kupokea malalamiko mbalimbali ya wananchi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni