Mahakama Kuu, Kanda ya
Shinyanga yaanza vikao katika Kanda hiyo hivi karibuni, ambapo jumla ya
mashauri 31 yanayatarajia kuendeshwa.
Vikao hivyo ambavyo
vimeanza rasmi tarehe 28.11.2016 vitaendeshwa kwa muda wa mwezi mmoja.
Muonekano wa jengo la Mahakama Kuu, Kanda ya Shinyanga ambapo vikao hivyo vinaendeshwa.
Muonekano wa chumba cha Mahakama 'Court room' ya Mahakama Kuu, Kanda ya Shinyanga, Mahakama hii ilianza kazi takribani miaka miwili sasa na kuongeza idadi ya Kanda za Mahakama Kuu 14, ambapo imewarahisishia wananchi wengi wa Mkoa huo waliokuwa wakihangaika kutafuta haki zao, Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora. Mahakama inakusudia kusogeza huduma zake karibu na wananchi kwa ngazi ya Kata hadi mkoa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni