Alhamisi, 9 Machi 2017

KAIMU JAJI MKUU APEWA TAARIFA KUHUSU MABORESHO YA MAHAKAMA


Wajumbe wa Kitengo cha Usimamizi wa  Maboresho ya Mahakama  ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) wakiwa na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma (mwenye shati jeupe) kwa ajili ya kutoa taarifa za Maendeleo ya Maboresho ya Mahakama

Mratibu wa  Kitengo cha Usimamizi wa  Maboresho ya Mahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) Mhe. Zahara Maruma  (Mwenye Miwani) akimuelezea Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma Maendeleo ya Maboresho ya Mahakama leo jijini Dar es Salaam.
 Wajumbe wa Kitengo cha Usimamizi wa  Maboresho ya Mahakama  ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) wakiwa na Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma (mwenye shati jeupe) wakitoa taarifa za Maendeleo ya Maboresho ya Mahakama
 Baadhi ya Wajumbe wa Kitengo cha Usimamizi wa  Maboresho ya Mahakama  ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit) wakitoa taarifa za Maendeleo ya Maboresho ya Mahakama kwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahoim Juma (hayupo Pichani) ofisini kwake jijini Dar es salaam.
  Mada ya Maboresho ya Mahakama  ya Tanzania ikioneshwa

Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Juma akifuatilia Mada kuhusu  Mpango Makakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania pamoja na Maboresho ya Mahakama iliyokuwa ikitolewa leo na  Mratibu wa  Kitengo cha Usimamizi wa  Maboresho ya Mahahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit-JDU) jijini Dar es Salaam.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Ndg. Hussein Kattanga akifafanua jambo kuhusu mada ya Maboresho ya Mahakama iliyokuwa ikitolewa  na Kitengo cha  Usimamizi wa  Maboresho ya Mahakama ya Tanzania (Judiciary Delivery Unit)

Maoni 1 :

  1. How good it is to ensure that Top Leaders are well informed for proper decision making. Congratulations JOT.

    JibuFuta