JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME
YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 200
1.0 Tume ya
Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu
wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa
Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia
Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na
ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko
katika Mikoa mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni Hakimu Mkazi Daraja la II – (TJS 2)
nafasi 100, Katibu Mahsusi Daraja la III
– (TGS B) nafasi 20, Msaidizi wa
Kumbukumbu Daraja la II – (TGS B) nafasi 45, Mpokezi – (TGS A) nafasi 1,
Dereva Daraja la II – (TGOS A)
nafasi 10, Mlinzi (TGOS A) nafasi 21
na Afisa TEHAMA Daraja la II Nafasi
3 (TGS.E).
A.
Hakimu
Mkazi II – TJS 2 - (Nafasi 100)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa
chini:-
NA
|
KANDA
|
MKOA
|
WILAYA
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
ARUSHA
|
MANYARA
|
DM HANANG
|
2
|
DM SIMANJIRO
|
2
|
|||
ARUSHA
|
DM NGORONGORO
|
1
|
||
2
|
KILIMANJARO
|
DM MOSHI
|
1
|
|
DM HAI
|
1
|
|||
DM ROMBO
|
2
|
|||
DM SAME
|
1
|
|||
3
|
MWANZA
|
MARA
|
DM BUNDA
|
1
|
DM TARIME
|
2
|
|||
DM SERENGETI
|
3
|
|||
GEITA
|
DM GEITA
|
1
|
||
DM CHATO
|
2
|
|||
DM BUKOMBE
|
2
|
|||
MWANZA
|
DM SENGEREMA
|
1
|
||
4
|
MBEYA
|
MBEYA
|
DM MBEYA
|
3
|
DM KYELA
|
2
|
|||
DM ILEJE
|
1
|
|||
5
|
IRINGA
|
IRINGA
|
DM KILOLO
|
2
|
NJOMBE
|
DM NJOMBE
|
1
|
||
DM WANGING'OMBE
|
2
|
|||
DM MAKETE
|
1
|
|||
6
|
DODOMA
|
SINGIDA
|
DM IRAMBA
|
3
|
DM MANYONI
|
3
|
|||
DM SINGIDA
|
3
|
|||
DODMA
|
DM BAHI
|
2
|
||
DM KONGWA
|
2
|
|||
7
|
TABORA
|
KIGOMA
|
DM KIGOMA
|
2
|
DM KASULU
|
3
|
|||
DM KIBONDO
|
2
|
|||
TABORA
|
DM TABORA
|
1
|
||
DM IGUNGA
|
1
|
|||
DM URAMBO
|
1
|
|||
8
|
BUKOBA
|
KAGERA
|
DM MULEBA
|
3
|
DM NGARA
|
1
|
|||
9
|
TANGA
|
TANGA
|
DM PANGANI
|
2
|
DM MUHEZA
|
2
|
|||
DM KILINDI
|
1
|
|||
DM MKINGA
|
1
|
|||
10
|
MTWARA
|
MTWARA
|
DM MTWARA
|
1
|
DM TANDAHIMBA
|
1
|
|||
DM NANYUMBU
|
1
|
|||
LINDI
|
DM LINDI
|
1
|
||
DM KILWA
|
3
|
|||
11
|
SONGEA
|
RUVUMA
|
DM NYASA
|
1
|
DM TUNDURU
|
2
|
|||
DM NAMTUMBO
|
2
|
|||
12
|
SHINYANGA
|
SIMIYU
|
DM
MASWA
|
3
|
DM
MEATU
|
2
|
|||
DM
ITILIMA
|
1
|
|||
DM
BUSEGA
|
2
|
|||
13
|
SUMBAWANGA
|
RUKWA
|
DM
SUMBAWANGA
|
3
|
DM
KALAMBO
|
4
|
|||
DM
NKASI
|
3
|
|||
KATAVI
|
DM
MPANDA
|
2
|
||
DM
MLELE
|
1
|
|||
JUMLA KUU
|
100
|
Sifa za kuingilia:-
Waombaji wawe na Cheti cha kuhitimu
kidato cha Nne/Sita, Shahada ya kwanza ya Sheria “Bachelor of Laws” (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunachotambulika
na Serikali pamoja na cheti cha mafunzo ya Sheria kwa vitendo (Law school Certificate).
Kazi za kufanya:-
i. Kuandaa
mpango wa kusikiliza mashauri.
ii. Kusikiliza
mashauri ya awali ya Jinai (Criminal Cases), Madai (Civil Cases), Mirathi
(Probate and Administration) na ndoa (Matrimonial Cases).
iii. Kutoa
hukumu katika mashauri yote anayoyasikiliza
ya jinai, madai, mirathi, ndoa na mashauri mengine, kadri sheria inavyomruhusu.
iv. Kutoa
amri mbalimbali za kimahakama anazoruhusiwa kisheria katika Mahakama za Mwanzo.
v. Kusuluhisha
mashauri.
vi. Kusikiliza
rufani kutoka Mabaraza ya Kata.
B.
AFISA
TEHAMA DARAJA II TGS E – (Nafasi 3)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa
chini:-
S/N
|
KANDA
|
KITUO
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
DODOMA
|
MAHAKAMA
KUU DODOMA
|
1
|
2
|
SONGEA
|
MAHAKAMA
KUU SONGEA
|
1
|
3
|
DAR
ES SALAAM
|
MAHAKAMA
KUU DIVISHENI YA ARDHI
|
1
|
JUMLA KUU
|
3
|
Sifa za kuingilia:-
Mhitimu wa Kidato cha nne/sita, na mwenye Stashahada
ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo;
Sayansi ya Kompyuta
Teknolojia ya Habari
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Menejimenti ya Mifumo ya Habari au Mafunzo mengine
yanayohusiana na fani hii.
Kazi za kufanya:-
Watafanya
kazi za “Programming” kama ifuatavyo:-
(i)
Kuandaa,
kuandika na kufanya majaribio ya program (plan code and test program)
(ii)
Kusahihisha
program (Debug Program)
(iii)
Kuweka
na kuhakikisha usalama wa program (Incorporate security setting into program)
(iv)
Kushirikiana
na wadau wengine katika kutengeneza programu mbalimbali (Corporate with other
software developers)
(v)
Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkubwa wake
wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.
C.
KATIBU
MAHSUSI DARAJA III TGS B – (Nafasi 20)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa
chini:-
NA
|
KANDA
|
MKOA
|
WILAYA
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
ARUSHA
|
ARUSHA
|
DM
KARATU
|
1
|
2
|
MOSHI
|
KILIMANJARO
|
RM
MOSHI
|
1
|
3
|
MWANZA
|
MWANZA
|
RM
MWANZA
|
1
|
DM
ILEMELA
|
1
|
|||
MARA
|
DM
MUSOMA
|
1
|
||
GEITA
|
RM
GEITA
|
1
|
||
4
|
MBEYA
|
MBEYA
|
DM
MBEYA
|
1
|
5
|
IRINGA
|
IRINGA
|
DM
KILOLO
|
1
|
6
|
DODOMA
|
DODMA
|
DM
KONDOA
|
2
|
7
|
TABORA
|
KIGOMA
|
DM
KIBONDO
|
1
|
8
|
BUKOBA
|
KAGERA
|
RM
BUKOBA
|
1
|
DM
KARAGWE
|
1
|
|||
9
|
MTWARA
|
LINDI
|
DM
LIWALE
|
1
|
10
|
SONGEA
|
RUVUMA
|
DM
NYASA
|
1
|
11
|
SHINYANGA
|
SIMIYU
|
RM
SIMIYU
|
1
|
12
|
SUMBAWANGA
|
RUKWA
|
RM
RUKWA
|
1
|
KATAVI
|
RM
KATAVI
|
1
|
||
13
|
DAR
ES SALAAM
|
MOROGORO
|
DM
MVOMERO
|
1
|
PWANI
|
DM
RUFIJI
|
1
|
||
JUMLA KUU
|
20
|
Sifa za kuingilia:-
Kuajiriwa
wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria
Mafunzo ya Uhazili na
kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua ya Tatu.
Wawe wamefaulu
somo la Hatimkato ya Kiswahili na
Kiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa
dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu
za Windows, Microsoft Office, Internet,
E-mail na Publisher.
Kazi za kufanya:-
Katibu Mahsusi
Daraja la III atapangiwa kufanya kazi
Typing pool au chini ya Katibu Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu
kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu wa sehemu au kitengo.
(i)
Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
(ii) Kusaidia
kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanazoweza
kushughulikiwa.
(iii) Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao
safari za Mkuu wake na
ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi
anamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu
wake kwa wakati unaohitajika.
D.
MSAIDIZI
WA KUMBUKUMBU DARAJA II TGS B – (Nafasi 45)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika
Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa chini:-
NA
|
KANDA
|
MKOA
|
WILAYA
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
ARUSHA
|
MANYARA
|
DM
SIMANJIRO
|
2
|
2
|
MOSHI
|
KILIMANJARO
|
DM
SAME
|
1
|
DM
ROMBO
|
1
|
|||
3
|
MWANZA
|
MWANZA
|
DM
KWIMBA
|
2
|
DM
UKEREWE
|
2
|
|||
DM
MISUNGWI
|
1
|
|||
MARA
|
DM
SERENGETI
|
2
|
||
4
|
MBEYA
|
MBEYA
|
DM
KYELA
|
2
|
DM
MBARALI
|
1
|
|||
DM
MBOZI
|
1
|
|||
5
|
IRINGA
|
IRINGA
|
DM
KILOLO
|
2
|
NJOMBE
|
DM
MAKETE
|
1
|
||
6
|
DODOMA
|
DODOMA
|
DM
DODOMA
|
1
|
SINGIDA
|
DM
SINGIDA
|
1
|
||
DM
MANYONI
|
1
|
|||
7
|
TABORA
|
TABORA
|
DM
SIKONGE
|
1
|
DM
URAMBO
|
1
|
|||
KIGOMA
|
DM
KIBONDO
|
1
|
||
8
|
BUKOBA
|
KAGERA
|
DM
NGARA
|
1
|
DM
MULEBA
|
2
|
|||
DM
KARAGWE
|
1
|
|||
9
|
TANGA
|
TANGA
|
DM
MUHEZA
|
1
|
DM
MKINGA
|
1
|
|||
10
|
MTWARA
|
MTWARA
|
DM
NANYUMBU
|
1
|
DM
NEWALA
|
1
|
|||
LINDI
|
DM
NACHINGWEA
|
1
|
||
11
|
SONGEA
|
RUVUMA
|
DM
NAMTUMBO
|
2
|
DM
MBINGA
|
1
|
|||
12
|
SHINYANGA
|
SHINYANGA
|
DM
KISHAPU
|
2
|
13
|
SUMBAWANGA
|
RUKWA
|
DM
SUMBAWANGA
|
1
|
DM
KALAMBO
|
1
|
|||
KATAVI
|
DM
MPANDA
|
1
|
||
14
|
DAR ES SALAAM
|
MOROGORO
|
DM
KILOMBERO
|
2
|
PWANI
|
DM
MAFIA
|
2
|
||
JUMLA
|
45
|
Sifa
za Kuingilia:-
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye
cheti/Stashahada ya utunzaji kumbukumbu kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma pamoja
na wahitimu wa kidato cha nne/sita wenye Diploma ya Sheria kutoka chuo cha
Uongozi wa Mahakama.
Kazi za kufanya:-
(i)
Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili
yanayohitajiwa na wasomaji.
(ii) Kudhibiti
upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
(iii) Kuweka/kupanga
kumbukumbu/nyaraka Katia reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya
kuhifadhia kumbukumbu.
(iv) Kunukuu
(kurekodi) mwenendo mzima wa kesi na kuweka kumbukumbu sahihi za mashauri
yanayosikilizwa na Majaji au Mahakimu.
(v) Kuhakiki
na kuandaa taarifa iliyohakikiwa na kuwasilisha sehemu husika kabla yakutoa
nakala kwa Umma.
(vi) Kufanya
kazi nyingine za kiutawala zinazohusu masuala ya kimahakama kama kuwasilisha
nyaraka za kisheria Mahakamani na kuangalia muda na siku ya kufanyika kwa kesi
husika.
(vii) Kuthibitisha
machapisho (transcripts) kwa ajili ya kumbukumbu za ofisi ndani ya muda
uliopangwa.
(viii) Kutunza
na kuhifadhi machapisho (transcripts) mahali salama.
(ix) Kuratibu
utoaji wa machapisho (transcripts).
(x) Kufanya
kazi nyingine atakayopangiwa.
E.
MPOKEZI
TGS A – (Nafasi – 1)
NA
|
KANDA
|
MKOA
|
KITUO
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
DAR
ES SALAAM
|
DAR
ES SALAAM
|
MAHAKAMA
YA RUFANI
|
1
|
Sifa za Kuingilia:-
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV
waliofaulu masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati na Kufuzu mafunzo ya
mapokezi na upokeaji simu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Kazi za kufanya:-
(i)
Kupokea wageni na kuwasilisha shida zao.
(ii)
Kutunza na kudumisha usafi wa “Switchboard”
na Ofisi yake.
(iii)
Kupokea simu kutoka nje na kuzisambaza kwa
maafisa mbalimbali Ofisini.
(iv)
Kupokea simu kutoka “Extension” za ndani na
kupiga nje ya ofisi.
(v)
Kutunza rejesta ya simu zinazopokelewa
kutoka nje ya ofisi na zinazopigwa nje ya ofisi.
F.
DEREVA
DARAJA LA II TGOS A – (Nafasi 10)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa
chini:-
NA
|
KANDA
|
MKOA
|
WILAYA
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
ARUSHA
|
MANYARA
|
DM
SIMANJIRO
|
1
|
2
|
MWANZA
|
MWANZA
|
DM
UKEREWE
|
1
|
3
|
IRINGA
|
NJOMBE
|
RM
NJOMBE
|
1
|
4
|
DODOMA
|
SINGIDA
|
DM
MANYONI
|
1
|
5
|
BUKOBA
|
KAGERA
|
DM
NGARA
|
1
|
6
|
MTWARA
|
MTWARA
|
DM
MTWARA
|
1
|
7
|
SHINYANGA
|
SHINYANGA
|
DM
KAHAMA
|
1
|
8
|
SUMBAWANGA
|
RUKWA
|
DM
SUMBAWANGA
|
1
|
9
|
DAR
ES SALAAM
|
MOROGORO
|
DM
KILOSA
|
1
|
DM
MVOMERO
|
1
|
|||
JUMLA
|
10
|
Sifa za Kuingilia:-
Kuajiriwa wenye Cheti cha Baraza la
mitihani (NACTE) Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni daraja la “C” ya
uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka
mitatu bila kusababisha ajali, wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II
(VETA).
Kazi za kufanya:-
(i)
Kuendesha magari ya abiria, na malori,
(ii)
Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika
hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari
ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,
G.
MLINZI
TGOS A – (Nafasi 21)
Nafasi
hizi ni kwa ajili ya Mahakama katika Mikoa iliyoainishwa katika Jedwali hapa
chini:-
NA
|
KANDA
|
MKOA
|
WILAYA
|
IDADI YA NAFASI
|
1
|
ARUSHA
|
ARUSHA
|
HC
ARUSHA
|
1
|
2
|
MOSHI
|
KILIMANJARO
|
DM
ROMBO
|
1
|
3
|
MWANZA
|
MWANZA
|
DM
MAGU
|
1
|
MARA
|
DM
TARIME
|
2
|
||
GEITA
|
RM
GEITA
|
1
|
||
4
|
MBEYA
|
MBEYA
|
HC
MBEYA
|
1
|
5
|
IRINGA
|
IRINGA
|
DM
MUFINDI
|
1
|
6
|
DODOMA
|
SINGIDA
|
DM
IRAMBA
|
1
|
7
|
TABORA
|
TABORA
|
DM
NZEGA
|
1
|
KIGOMA
|
DM
KASULU
|
1
|
||
8
|
BUKOBA
|
KAGERA
|
DM
BIHARAMULO
|
2
|
9
|
MTWARA
|
LINDI
|
RM
LINDI
|
1
|
10
|
SONGEA
|
RUVUMA
|
RM
SONGEA
|
1
|
11
|
SHINYANGA
|
SHINYANGA
|
DM
SHINYANGA
|
1
|
DM
MEATU
|
1
|
|||
SIMIYU
|
DM
BUSEGA
|
1
|
||
12
|
SUMBAWANGA
|
KATAVI
|
DM
MLELE
|
1
|
13
|
TANGA
|
TANGA
|
DM
HANDENI
|
1
|
14
|
DAR
ES SALAAM
|
MOROGORO
|
DM
MVOMERO
|
1
|
JUMLA
|
21
|
Sifa za kuingilia:-
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne
waliofuzu mafunzo ya mgambo/polisi/ JKT au Mafunzo ya Zimamoto kutoka katika
chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Kazi za kufanya:-
(i)
Kuhakikisha kwamba mali
yoyote ya ofisi inayotolewa langoni (nje ya ofisi) ina hati ya idhini.
(ii)
Kuhakikisha kuwa mali yote inayoingizwa
langoni inazo hati za uhalali wake.
(iii)
Kulinda usalama wa majengo, ofisi na mali za
ofisi mchana na usiku.
(iv)
Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote
yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.
(v)
Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaoingia
katika eneo la ofisi wanaidhini ya kufanya hivyo.
(vi)
Kupambana na majanga yoyote yatakayotokea
katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko n.k. na kutoa taarifa katika
vyombo vinavyohusika kama vile polisi na zimamoto.
(vii)
Kutoa ushauri wa jinsi ya kuboresha huduma
ya ulinzi mahali pa kazi.
Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 04/09/2017 saa 9:30 Alasiri.
2.0
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji zikionyesha anwani
sahihi
pamoja na namba ya simu
na kuambatisha:-
-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.
-
Ufupisho wa taarifa za mwombaji (CV).
-
Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
-
Picha mbili za rangi (Passport size) zilizopigwa hivi
karibuni.
NB. Nakala za vyeti vya taaluma na vya kidato cha nne/sita vithibitishwe na Hakimu/Wakili
anayetambuliwa na Serikali (True copies of the originals).
3.0 Aidha, inasisitizwa kwamba:-
3.1 Waombaji wawe na umri kati ya miaka 18 na
44
3.2 Waombaji wakazi toka maeneo husika na wenye
sifa zilizoainishwa
katika tangazo hili, watafikiriwa
kwanza na kupangiwa kazi katika
maeneo husika.
3.3 Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi
mwombaji.
3.4 Waombaji walio katika Utumishi wa Umma
wapitishe maombi yao kwa
waajiri wao wa sasa.
3.5 Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa
Umma waeleze kwamba
waliacha kazi Serikalini na sababu ya
kufanya hivyo.
3.6 Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa
watakuwa watumishi wa
Mahakama ya Tanzania.
3.7 Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao
vithibitishwe na TCU/NACTE.
3.8 Waombaji waandike majina yao yote matatu
kwa kirefu.
3.9 Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba
nyuma ya bahasha
watakazotumia maombi yao.
3.10 Waombaji wasiwe walioachishwa/kufukuzwa kazi kwenye
Utumishi wa
Umma.
3.11 Mwombaji asiandike barua zaidi ya moja kwa
ajili ya kuomba nafasi
moja.
3.12 Waombaji wote wasio na sifa zilizotajwa na
ambao hawatazingatia
mojawapo ya masharti yaliyotajwa
hapo juu, maombi yao
hayatashughulikiwa.
4.0 Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa
Katibu, Tume ya Utumishi
wa Mahakama ya Tanzania, S.L.P. 8391
, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya
Utumishi wa Mahakama,
S.L.P 8391,
DAR ES SALAAM.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni