Jumanne, 14 Novemba 2017

JAJI KIONGOZI ATEMBELEA MAHAKAMA KUU KANDA YA ARUSHA


  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha alipowatembelea hivi karibuni akiwa jijini Arusha kuhudhuria Kikao cha Haki Jinai. 
 
  Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akizungumza na baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha. 
 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akisalimiana na Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha alipowatembelea hivi karibuni akiwa jijini Arusha kuhudhuria Kikao cha Haki Jinai. 

 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akisalimiana na baadhi Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha. 
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akisalimiana na baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha. 
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Ferdinand Wambali akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za Mahakama Kuu kanda ya Arusha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni