Jumamosi, 3 Februari 2018

JAJI MSTAAFU GUATEMALA ATEMBELEA MAHAKAMA YA WILAYA YA KIGAMBONI

 
Baadhi  ya viongozi wa Mahakama ya Tanzania  na  Mahakimu wakiwa  katika mkutano  wa  kubadilishana  uzoefu kuhusu  mahakama  inayotembea na wagemi kutoka Mahakama ya Guatemala kuhusu mahakama inayotembea 

Baadhi  ya viongozi wa Mahakama ya Tanzania  na  Mahakimu wakiwa  katika mkutano  wa  kubadilishana  uzoefu  kuhusu  mahakama  inayotembea  na wageni kutoka Mahakama ya Guatemala.

 Jaji Mkuu mstaafu wa Mahakama ya Juu ya  Guatemala,   Ners   osvaldo Mendez aliyenyosha mikono    akizungumzia kuhusu uzoefu wa kuendesha mahakama inayotembea  wakati alipotembelea  Ofisi za Mahakama ya   Tanzania  Kitengo  Cha Usimamizi  wa Maboresho(JDU).
 
Naibu  Meneja  wa  Mkuu wa Mahakama  ya  Mahakama ya Guatemala , Napoleon  Zante  akifafanua  mada  kuhusu  mahakama inayotembea  nchini humo katika mkutano uliohusisha viongozi wa Mahakama  na  wageni hao.


Jaji  Mkuu mstaafu wa  Mahakama ya juu ya  Guatemala,   Ners   osvaldo Mendez  na  Naibu  Meneja  Mkuu kutoka Mahakama ya Guatemala, Napoleon  Zante wakiangalia   Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni  iliyojengwa  kwa teknolojia  la Moladi .

Jaji  Mkuu mstaafu wa  wa Mahakama ya juu ya Guatemala,   Ners   osvaldo Mendez  na  Naibu  Meneja  Mkuu kutoka Mahakama ya Guatemala, Napoleon  Zante wakiangalia   Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni  iliyojengwa  kwa teknolojia  la Moladi .

Baadhi  viongozi  wa Mahakama ya Tanzania  wakiwa katika picha  ya Pamoja Jaji  Mkuu mstaafu wa mahakama ya juu ya  Guatemala,   Ners   osvaldo Mendez  na  Napoleon  zante  ambaye  ni  Naibu  Meneja  Mkuu kutoka Mahakama ya Guatemala.
 
(Picha na Magreth Kinabo)
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni