Majaji wa Mahakama Kuu kanda ya Sumbawanga wakielekea kwenye uwanjani kwa ajili ya Gwaride la Ufunguzi.
Askari wakiwa tayari kwa gwaride la Ufunguzi.
MAHAKAMA KUU KANDA YA MBEYA
Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya Mhe. Atuganile Ngwala akicheza na kikundi cha kwaya ya Kanda ya Mbeya wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini jana.
Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Mbeya wakiwa kwenye hafla hiyo jana jijini Mbeya.
MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MKOA WA SIMIYU
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu Mhe. John Francis Nkwabi akizungumza na watumishi wa Mahakama mkoa wa Simiyu wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Baadhi ya wageni walioalikwa kwenye Maadhimisho hayo.
Hakimu Mkazi Mfawidhi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Bariadi Mhe. Mary Peter Mrio akizungumza wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Watumishi wa Mahakama mkoa wa Simiyu wakiwa kwenye Maadhimisho hayo.
MAHAKAMA KUU KANDA YA TABORA
Mkuu wa wilaya ya Tabora, Mwl. Queen Mlozi akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora na wengine wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Mkuu wa wilaya ya Tabora, Mwl. Queen Mlozi akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora pamoja na viongozi wa Dini wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Mkuu wa wilaya ya Tabora, Mwl. Queen Mlozi akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora na Mawakili wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora Mhe. Sam Rumanyika akikagua gwaride siku ya Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora Mhe. Sam Rumanyika akikagua gwaride siku ya Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI PWANI NA MAHAKAMA YA WILAYA YA KIBAHA
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo akiwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani Mhe. Elizabeth Nyembele katika Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani Mhe. Elizabeth Nyembele wakiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Pwani na wa Mahakama ya wilaya ya Kibaha wakati wa Maadhimisho ya siku ya Sheria nchini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni