Jumamosi, 10 Machi 2018

KIKAO KAZI CHA KUTATHMINI MPANGO MKAKATI WA MAHAKAMA CHAENDELEA MJINI ARUSHA

Baadhi ya Watendaji na Wataalamu mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania wakiwa kwenye kikao kazi cha kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama unaoendelea jijini Arusha. 
Baadhi ya Watendaji wa Mahakama mbalimbali nchini pamoja na Naibu Wasajili wkifuatilia jambo katika kikao kazi cha kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama unaoendelea jijini Arusha. 
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma(mstari wa mbele) wakiwa kwenye kikao kazi cha kutathmini Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama unaoendelea jijini Arusha. 
Baadhi ya Wajumbe wa kikao kazi wakifuatilia jambo.
Mtendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mara, Zilper Geke akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Mkoa wa Mara kwenye kikao kazi kinachoendelea jijini Arusha. 
 Mtendaji wa Mahakama ya Kuu ya Tanzania kanda ya Dodoma, Maria Francis Itala akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya kanda ya Dodoma kwenye kikao kazi kinachoendelea jijini Arusha. 

Mtendaji wa Mahakama ya Kuu ya Tanzania kanda ya Sumbawanga, Emanuel Munda akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya kanda ya Sumbawanga kwenye kikao kazi kinachoendelea jijini Arusha. 
Mtendaji wa Mahakama ya Kuu ya Tanzania kanda ya Shinyanga, Ernest Masanja akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya kanda ya Shinyanga kwenye kikao kazi kinachoendelea jijini Arusha. 
Mtendaji wa Mahakama ya Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es salaam, Mary Shirima akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya kanda ya Dar es salaam kwenye kikao kazi kinachoendelea jijini Arusha. 

Mtendaji wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro, Nestory Mujanangoma akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano wa Mahakama ya Tanzania(2015/2016-2019/2020) pamoja na Mradi wa Maboresho ya Huduma za Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kwenye kikao kazi kinachoendelea jijini Arusha. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni