Jumamosi, 30 Juni 2018

MAHAKAMA YA TANZANIA YAENDELEA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA 42 YA BIASHARA YA KIMATAIFA


Baadhi ya Wananchi wakipatiwa maelezo kuhusu Mahakama inayotembea ‘Mobile Court’
Bw. Buguho Hussein Buguho akifurahia huduma ya uthibitisho wa hati ya kiapo cha uraia wake, huduma aliyoipata katika Banda la Mahakama.
Mhe. Anipha Mwingira akitoa ufafanuzi kwa mteja.

Baadhi ya wananchi wakipata huduma ya Msaada wa Sheria kutoka kwa Chama cha Mawakili Tanganyika ‘TLS’, TLS pia inapatikana ndani ya banda la Mahakama.
Baadhi ya Maafisa wa Mahakama waliopo katika sehemu ya Idara ya Malalamiko wakiwasikiliza wananchi.

Sehemu ya Mapokezi ya Banda la Mahakama, wananchi wakipatiwa maelezo ya awali ya huduma zinazopatikana ndani ya banda la Mahakama.


Wananchi wakipatiwa huduma kutoka Idara ya Menejimenti ya Mashauri.

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama wanaoiwakilisha Taasisi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, 2018 wakiwa katika picha ya pamoja.

(Picha na Mary Gwera)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni