Baadhi ya Wananchi
wakiwa katika banda la Menejimenti ya Mashauri wakipata huduma kutoka kurugenzi
hiyo.
Wananchi wakipatiwa
msaada wa Kisheria.
Naibu Katibu wa Tume ya
Utumishi wa Mahakama, Bi. Enziel Mtei akimuhudumia mwananchi aliyetembelea Tume ya Utumishi wa Mahakama iliyomo katika banda la Mahakama.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni