Jumatano, 18 Julai 2018

MAWAKILI WATARAJIWA WAPATIWA MAFUNZO

Jaji wa Mahakama Kuu ya Kanda ya Sumbawanga, Mhe.Dkt. Adam  Mambi ,akitoa mada kuhusu mfumo wa kupokea na kuhifadhi  nyaraka za  mahakama  kielektroniki(JSDS)  sambamba  ya Sheria ya Mihamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015 pamoja  na kanuni zake  na kusajili  nyaraka  kupitia mtandao kwa mawakili watarajiwa   katika  semina  iliyofanyika  leo jijini Dar es Salaam .

Afisa  Teknolojia  ya Habari  na Mawasiliano (Tehama ), Athuman  Kinyegezi,  akitoa  mada ya mfumo wa kupokea na kuhifadhi  nyaraka za  mahakama  kielektroniki(JSDS) kuhusu namna ya kufungua kesi na kutuma  nyaraka  kwa njia ya mtandao kwa mawakili  watarajiwa  katika  semina  iliyofanyika leo Jiji Dar es Salaam.

Naibu Wakili Mkuu wa Serikali , Ally Possi akitoa  mada kuhusu   shughuli  za mawakili  kwa mawakili  watarajiwa katika  semina  iliyofanyika leo Jiji Dar es Salaam.

Baadhi ya mawakili  watarajiwa wakiwa katika semina  hiyo.

Baadhi ya mawakili  watarajiwa wakiwa katika semina  hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni