Jumatatu, 4 Februari 2019

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YATOA MSAADA KWA WAGONJWA NA WAFUNGWA



Baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania wakiteremsha sabuni, dawn /- na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Vitu hivyo vimetolewa leo  ikiwa kama sehemu ya jamii miswaki na mafuta ya kujipaka kwa ajili ya wagonjwa wa hospitali za   Amana,Mwananyamala na Temeke , yakiwemo  magereza ya Keko ,Ukonga ,Segerea kanda hiyo inawajibu wa kusaidia watu walio katika mazingira magumu Hospitali ya Saratani Ocean Road. Vitu hivyo vinathamani ya sh1, 280,000 

Baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania wakiteremsha sabuni, dawn /- na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.Vitu hivyo vimetolewa ikiwa kama sehemu ya jamii miswaki na mafuta ya kujipaka kwa ajili ya wagonjwa wa hospitali za   Amana,Mwananyamala na Temeke , yakiwemo  magereza ya Keko ,Ukonga ,Segerea kanda hiyo inawajibu wa kusaidia watu walio katika mazingira magumu Hospitali ya Saratani Ocean Road. Vitu hivyo vinathamani ya sh1, 280,000 

Naibu Msajili Mfawidhi wa Kanda ya Dar es Salaam Joachim  Tiganga (kulia)akimkabidhi  Martha  Mpaze  sabuni , mafuta ya kujipaka  miswaki na dawa za meno  kwa ajili ya  wagonjwa wa Hospitali ya Amana  na Gereza la Segerea.

 Naibu Msajili Mfawidhi wa Kanda ya Dar es Salaam Joachim  Tiganga (kulia)akimkabidhi  Thabit Mvugala sabuni , mafuta ya kujipaka  miswaki na dawa za meno  kwa ajili ya  wagonjwa wa Hospitali ya Mwananyamala na gereza la Keko.


Naibu Msajili Mfawidhi wa Kanda ya Dar es Salaam Joachim  Tiganga (kulia) akimkabidhi  Japhet   Mkoba kutoka Mahakama ya Temeke   sabuni , mafuta ya kujipaka  miswaki na dawa za meno kwa ajili ya  wagonjwa wa Hospitali ya Temeke na gereza la Ukonga



Baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar  es Salaam  wakiwa wamebeba sabuni, mafuta ya kujipaka , miswaki na dawa ya meno kwa ajili ya kuwapa wagonjwa  wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road.


Baadhi ya wafanyakazi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar  es Salaam  wakiwa wamebeba sabuni, mafuta ya kujipaka , miswaki na dawa ya meno kwa ajili ya kuwapa wagonjwa  wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road.



Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Saratani ya Ocean Road, Jesca Kawegere  akiangalia vifaa vilitolewa na wafanyakazi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kwa ajili  ya wagojwa . Vifaa hiyo ni Sabuni, mafuta ya kujipaka, miswaki na dawa ya meno.




Muuguzi wa Hospitali ya Ocean Road, Veronica Shirima  akimshukuru Naibu Msajili Mfawidhi wa Kanda ya Dar es Salaam Joachim Tiganga (kulia) baada ya kumkabidhi vifaa hivyo.
(Picha na Magreth Kinabo)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni