Alhamisi, 24 Septemba 2020

JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI MHE. MMILA AFARIKI DUNIA USIKU HUU JIJINI DAR ES SALAAM

TANZIA

Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Mhe. Bethuel Mmila enzi ya Uhai wake 


JAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA MHE. BETHUEL MMILA AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE ILIYOPO HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM.

MAREHEMU JAJI MMILA ALIKUWA AKIPATIWA MATIBABU KWENYE HOSPITALI HIYO AMBAPO ALIKUWA AMELAZWA. TAARIFA NYINGINE KUHUSU MSIBA HUU ZITATOLEWA BAADAYE.

 

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.


 

      

Maoni 22 :

  1. Sote tu wa Mwenyezi Mungu na daima kwake tutarejea. Pole kwa wafiwa wote, Mwenyezi Mungu akafanyike faraja kwetu sote.

    JibuFuta
  2. APUMZIKE kwa AMANI Mheshimiwa

    JibuFuta
  3. Apumzike kwa amani kiongozi wetu

    JibuFuta
  4. Safiri ni mmoja kinachogomba kutangulia tu,
    RIP MMILA

    JibuFuta
  5. Poleni sana familia yote, Mh.Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu na Wanamahakama wote.Mungu wa faraja yote atufariji.Neno lake latukumbusha kuwa:
    ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
    ⁸ "Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.
    ⁹ Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia."

    JibuFuta

  6. Poleni sana familia yote, Mh.Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi, Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu na Wanamahakama wote.Mungu wa faraja yote atufariji.Neno lake latukumbusha kuwa: 
    ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
    "Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana.Maana Kristo alikufa akawa hai tena kwa sababu hii, awamiliki waliokufa na walio hai pia."

    JibuFuta
  7. Mwenyezi mungu ampe Mh Jaji pumziko la milele...tutamkumbuka daima kwa mengi mazuri aliyotenda

    JibuFuta
  8. Very very sad. Poleni familia ya Mahakama ndugu zake na jamaa wote.

    JibuFuta
  9. Pole kwa wafiwa m/mungu awafariji

    JibuFuta
  10. Apumzike kwa amani,poleni wafiwa wote.

    JibuFuta
  11. Apumzike kwa Amani Mh.jaji.

    JibuFuta
  12. Apumzike kwa Amani Mh. Jaji

    JibuFuta
  13. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahala pema peponi. Jaji Mmila alikuwa mtu mwema Sana. I will miss him Sana.

    JibuFuta
  14. Apumzike kwa amani bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe

    JibuFuta
  15. Mungu aipumzishe roho ya marehemu Jaji Mmila mahali pema penye raha ya milele.

    JibuFuta
  16. Pole Sana familia pia selikari yetu ya tz kwa kumpoteza mtu muhimu

    JibuFuta
  17. Tutakumkumba sana baba mdogo....upumzike kwa amani.

    JibuFuta
  18. Tutakumkumba sana baba mdogo....upumzike kwa amani.

    JibuFuta