Jumapili, 14 Februari 2021

MTUMISHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA TARIME AFARIKI DUNIA

                       TANZIA  

Mahakama ya Tanzania inasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Mahakama ya Wilaya ya Tarime, Murian Marwa Chacha, aliyekuwa Mlinzi Mwandamizi aliyekuwa akifanya kazi katika Mahakama ya Mwanzo Nyamwaga kilichotokea usiku wa kuamkia Februari 13, 2021.

Mahakama ya Tanzania inatoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia msiba huu.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni