JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA
Telex: 41838 MMM TZ.
Ofisi
ya Mtendaji Mkuu,
Simu Nambari: 2111586 /2123897 Mahakama
ya Tanzania,
Fax: 255 – 2- 2116654/ 26
Barabara ya Kivukoni,
255-22-2127656
S. L. P. 9004,
Email: cca@judiciary.go.tz 11409 DAR ES SALAAM.
Tovuti: www.judiciary.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
DAR ES SALAAM; 09 Januari, 2023
JAJI MKUU KUKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA MAADHIMISHO
YA WIKI NA SIKU YA SHERIA NCHINI, 2023.
Msajili
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Mhe. Wilbert Martin Chuma anawatangazia Wadau wa
Sekta na Sheria pamoja na wananchi wote kwamba Jaji Mkuu Wa Tanzania, Mhe.
Prof. Ibrahim Hamisi Juma atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari kesho
Tarehe 10 Januari, 2023 Saa tatu Asubuhi Katika Ukumbi wa Kituo Jumuishi cha
Utoaji Haki Temeke.
Mkutano
Huo Utakuwa Mubashara Kupitia Shirika la Utangazaji TBC1, ambapo Jaji Mkuu
atatoa Ujumbe wa Wiki na Siku ya Sheria nchini kwa mwaka Huu 2023. Hivyo, Wananchi
wote mnakaribishwa kufuatilia tukio hilo muhimu kuanzia saa 3.00 asubuhi.
Imetolewa
Na;
ARTEMONY
T. VINCENT,
MKUU
WA KITENGO CHA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO,
MAHAKAMA
YA TANZANIA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni