- Afanya mazungumzo na Watumishi wa Mahakama hiyo
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju leo
tarehe 27 Oktoba, 2026 ametembelea Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi.
Katika ziara hiyo, Mhe. Masaju amefanya mazungumzo
na watumishi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Matukio katika picha ya ziara ya Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju alipotembelea Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iliyopo Barabara ya Kivukoni jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Oktoba, 2026.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. George Masaju
akizungumza na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam ( hawapo katika picha) baada ya kuwasili Ofisi ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo tarehe 27 Oktoba, 2026 kwa ziara ya kikazi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe.
Salma Maghimbi (kulia) akimsikiliza Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (hayupo katika picha), kushoto ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Elizabeth Mkwizu na katikati ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Angela Bahati,
(kushoto).
Watumishi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam
wakimpokea Jaji Mkuu, Mhe. Masaju (hayupo katika picha) alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa Mahakama kuzungumza na
watumishi hao leo tarehe 27 Oktoba, 2026.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu Kanda ya
Dar es Salaam wakimsilikiza Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. George Masaju (hayupo katika picha) alipokuwa akizungumza na Watumishi hao alipotembelea Kanda hiyo leo tarehe 27 Oktoba, 2026.
Mtendaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Bw.
Sumera Manoti akimkaribisha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dr
es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi (hayupo katika picha) ili atoe neno na kumkaribisha Jaji
Mkuu kuzungumza na watumishi.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati)
akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Wa tatu kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi, wa tatu kulia ni Mhe. Mhe Elizabeth Mkwizu, wa pili kushoto ni Mhe. Angela Bahati, ni Mhe. Hamidu Mwanga, wa pili kulia ni Mhe. Awamu Mbagwa, wa kwanza kushoto ni Mhe. Hamidu Mwanga na wa kwanza kulia ni Mhe Dkt. Cleophace Morris.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Wasajili na Watendaji wa Mahakama Kanda ya Dar es Salaam. Walioketi pamoja na Jaji Mkuu (katikati) ni Wa tatu kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi, wa tatu kulia ni Mhe. Mhe Elizabeth Mkwizu, wa pili kushoto ni Mhe. Angela Bahati, ni Mhe. Hamidu Mwanga, wa pili kulia ni Mhe. Awamu Mbagwa, wa kwanza kushoto ni Mhe. Hamidu Mwanga na wa kwanza kulia ni Mhe Dkt. Cleophace Morris.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu Wakazi Wafawidhi wa Mahakama za Hakimu Mkazi Dar es salaam na Kivukoni na Mahakimu wakazi wafawidhi wa Mahakama za Wilaya Ilala, Mkuranga, Bagamoyo, Kibiti, Rufuji, Kingamboni, Ubungo,Kisarawe,Temeke, Kibaha na Kinondoni.Walioketi pamoja na Jaji Mkuu (katikati) ni Wa tatu kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi, wa tatu kulia ni Mhe. Mhe Elizabeth Mkwizu, wa pili kushoto ni Mhe. Angela Bahati, ni Mhe. Hamidu Mwanga, wa pili kulia ni Mhe. Awamu Mbagwa, wa kwanza kushoto ni Mhe. Hamidu Mwanga na wa kwanza kulia ni Mhe Dkt. Cleophace Morris.

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu wa Mahakama za Mwanzo Dar es salaam. Walioketi pamoja na Jaji Mkuu (katikati) ni Wa tatu kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi, wa tatu kulia ni Mhe. Mhe Elizabeth Mkwizu, wa pili kushoto ni Mhe. Angela Bahati, ni Mhe. Hamidu Mwanga, wa pili kulia ni Mhe. Awamu Mbagwa, wa kwanza kushoto ni Mhe. Hamidu Mwanga na wa kwanza kulia ni Mhe Dkt. Cleophace Morris.

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Utumishi,Tawala,TEHAMA,Hesabu na Mhasibu alipotembelea Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Walioketi pamoja na Jaji Mkuu (katikati) ni Wa tatu kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi, wa tatu kulia ni Mhe. Mhe Elizabeth Mkwizu, wa pili kushoto ni Mhe. Angela Bahati, ni Mhe. Hamidu Mwanga, wa pili kulia ni Mhe. Awamu Mbagwa, wa kwanza kushoto ni Mhe. Hamidu Mwanga na wa kwanza kulia ni Mhe Dkt. Cleophace Morris.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Walioketi pamoja na Jaji Mkuu (katikati) ni Wa tatu kushoto ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Salma Maghimbi, wa tatu kulia ni Mhe. Mhe Elizabeth Mkwizu, wa pili kushoto ni Mhe. Angela Bahati, ni Mhe. Hamidu Mwanga, wa pili kulia ni Mhe. Awamu Mbagwa, wa kwanza kushoto ni Mhe. Hamidu Mwanga na wa kwanza kulia ni Mhe Dkt. Cleophace Morris.
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju
akisoma Bango lenye picha za Majaji katika kipindi cha miaka 100 ya Mahakama (100 years Index Platform 1921-2021).
(Picha na BAKARI MTAULLAH)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni