Maandamano ya Kitaaluma katika Mahafali ya kumi na
Tano Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto. Tarehe 11/12/2015.
Mhe. Jaji Shaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama
Kuu ya Tanzania, (wa tatu kulia) akiwatunuku Astashahada na Stashahada ya
Sheria wahitimu katika Mahafali ya 15.
Wahitimu wa Chuo Cha Uongozi wa Mahakama Lushoto
wakivaa kofia ishara ya kutunukiwa Astashahada ya Sheria na Mhe. Jaji
Shaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika Mahafali ya
15.
Mhe. Jaji Shaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama
Kuu, (aliyeketi wa tano kulia), pamoja na meza kuu, katika picha ya pamoja na
baadhi Wahitimu wa Astashahada ya Sheria wa Chuo Cha Uongozi wa Mahakama
Lushoto katika Mahafali ya 15.
Mhe. Jaji Shaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama
Kuu, (aliyeketi wa tano kulia), pamoja na meza kuu, katika picha ya pamoja na
baadhi Wahitimu wa Stashahada ya Sheria wa Chuo Cha Uongozi wa Mahakama Lushoto
katika Mahafali ya 15.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni