Picha
ya Mhe. Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, akifafanuliwa jambo na Afisa wa Kitengo cha IT, Bw. Allen Machella
juu ya matumizi ya Tehama Mahakamani, katika maadhimisho ya Siku ya
Sheria jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari 2015, yatumika katika
Kalenda ya Mahakama ya Tanzania, Mwaka 2016 kwa mwezi Februari.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni