Mtendaji
Mkuu wa Mahakama Mhe.Hussein Kattanga mwenye( flana nyekundu) akiwa na
Watumishi wa Mahakama ya Kasulu baada ya kufanya usafi katika mazingira
inayozunguka Mahakama hiyo.
Mtendaji
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania (mwenye suti ya blue) akiwa na Wasajili pamoja na
watumishi wa Mahakama ya Kasulu, mkoani Kigoma.
Msajili
Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe.Katarina Revocatti (wa kwanza kulia) akiwa na
mazungumzo na viongozi wa Mahakama katika ziara yao Mkoa wa Kigoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni