Picha
ya Rais Dr. John Pombe Magufuli akiapa mbele ya Jaji Mkuu wa Mahakama ya
Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman, kuwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa
Tanzania awamu ya Tano katika Viwanja vya Uhuru tarehe 5 November 2015,
yatumika katika Kalenda ya Mahakama ya Tanzania, Mwaka 2016 kwa mwezi Januari.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni