Jumatatu, 25 Januari 2016


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA


                                                                            


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 444

 

1.0     Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa  Sheria ya Uendeshaji wa  Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri  watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.

 

1.1         Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni Hakimu Mkazi Darja la II – (TJS 2) nafasi 264, Katibu Mahsusi Daraja la III – (TGS B) nafasi 74, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II – (TGS B) nafasi 22, Msaidizi wa Maktaba Daraja la  II – (TGS B) nafasi 1, Mpokezi   – (TGS A) nafasi 1, Dereva Daraja la II – (TGOS A) nafasi 5, Msaidizi wa Ofisi – (TGOS A) nafasi 32 na Mlinzi (TGOS A) nafasi 45.

 

A.   Hakimu Mkazi  II – TJS 2  - Nafasi 264

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama za Mwanzo katika  Wilaya zilizoainishwa katika Jedwali hapa chini:-



S/N
MKOA
MAHAKAMA YA MWANZO KATIKA WILAYA
IDADI
1
Arusha
1.Arusha
2
2. Monduli
3
3. Ngorongoro
3
4. Longido
3
5. Karatu
3
JUMLA
14
2
Manyara
1. Hanang
3
2. Kiteto
3
3. Babati
3
4. Mbulu
3
 
JUMLA
12
3
Kilimanjaro
1. Moshi
3
2. Same
3
3. Rombo
3
4. Mwanga
3
5. Hai
3
JUMLA
15
4
Mwanza
1.Ukerewe
3
2. Sengerema
3
3. Magu
3
4. Kwimba
3
5. Misungwi
3
6. Mwanza
3
7. Nyamagana
3
JUMLA
21
5
Mbeya
1. Mbeya
3
2. Tukuyu
3
3. Kyela
3
4. Mbozi
3
5. Chunya
3
6. Ileje
3
7. Mbarali
3
JUMLA
21
6
Iringa
1. Iringa
3
2. Mufindi
3
JUMLA
6
7
Dodoma
1.Dodoma
3
2. Mpwapwa
3
3.Kondoa
3
4. Kongwa
3
JUMLA
12
8
Tabora
1. Tabora
3
2. Urambo
3
3. Igunga
3
4. Nzega
3
5. Uyui
3
6. Sikonge
3
JUMLA
18
9
Kigoma
1. Kigoma
3
2.Kibondo
3
3. Kasulu
3
JUMLA
9
10
Kagera/Bukoba
1.Bukoba
3
2.Muleba
3
3.Biharamulo
3
4.Ngara
3
5.Karagwe
3
JUMLA
15
11
Tanga
1. Tanga
3
2. Muheza
3
3. Handeni
3
4. Pangani
3
5.Korogwe
3
6. Lushoto
3
7. kilindi
3
JUMLA
21
12
Singida
1.Singida
3
2.Manyoni
3
3.Iramba/Kiomboi
2
JUMLA
8
13
Mtwara
1.Mtwara
3
2.Masasi
3
3.Newala
3
4.Tandahimba
3
5.Nanyumbu/Masasi
2
JUMLA
14
14
Mara
1.Musoma
3
2.Tarime
3
3. Bunda
3
4.Serengeti
3
JUMLA
12
15
Ruvuma (Songea)
1. Songea
2
2.Tunduru
2
3.Mbinga
2
4.Namtumbo
2
JUMLA
8
16
Shinyanga
1. Shinyanga
3
2. Kahama
3
3. Kishapu/Shinyanga
3
JUMLA
9
17
Rukwa/Sumbawanga
1.Sumbawanga
3
2.Nkasi
3
JUMLA
6
18
Lindi
1. Lindi
3
2. Nachigwea
3
3.Liwale
3
4.Ruangwa
2
5. Kilwa Masoko
3
JUMLA
14
19
Geita
1. Bukombe
3
2.Chato
2
3. Geita
3
JUMLA
8
20
Simiyu
1. Bariadi
3
2.Maswa
3
3.Meatu
3
JUMLA
9
21
Njombe
1.Njombe
3
2.Ludewa
3
3.Makete
3
JUMLA
9
22
Katavi
1.Mpanda
3
JUMLA
3
JUMLA KUU
 
264

Sifa za kuingilia:-

Waombaji  wawe  na shahada ya kwanza ya Sheria “Bachelor of Laws” (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunachotambulika na Serikali pamoja na  cheti cha mafunzo ya Sheria kwa vitendo (Law school Certificate).

Kazi za kufanya:-

       i.       Kuandaa mpango wa kusikiliza mashauri.

     ii.       Kusikiliza mashauri ya  awali ya Jinai(Criminal  Cases), Madai (Civil Cases), Mirathi (Probate and Administration) na ndoa (Matrimonial Cases).

    iii.       Kutoa hukumu katika mashauri yote  anayoyasikiliza  ya jinai, madai, mirathi, ndoa na mashauri  mengine, kadri sheria inavyomruhusu.

    iv.       Kutoa amri mbalimbali za kimahakama anazoruhusiwa kisheria katika Mahakama za Mwanzo.

     v.       Kusuluhisha mashauri.

    vi.       Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata.

 

B.   KATIBU MAHSUSI  DARAJA III TGS B – NAFASI 74

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama za Wilaya zilizoainishwa katika Jedwali hapa chini:-



S/N
MKOA
WILAYA
IDADI
1
ARUSHA
Arumeru/Arusha
1
Monduli
1
Ngorongoro
1
Longido
1
Karatu
1
JUMLA
 
5
2
MANYARA
Babati
1
Mbulu
1
JUMLA
 
2
3
KILIMANJARO
Moshi
1
Same
1
Rombo
1
Mwanga
1
Hai
1
JUMLA
 
5
4
MWANZA
Ukerewe
1
Sengerema
1
Magu
1
Kwimba
1
Misungwi
1
Mwanza
1
JUMLA
 
6
5
IRINGA
Iringa
1
Mufindi
1
JUMLA
 
2
6
DODOMA
Dodoma
1
Mpwapwa
1
Kondoa
1
Kongwa
1
JUMLA
 
4
7
TABORA
Tabora
2
Urambo
1
Igunga
1
Nzega
1
JUMLA
 
5
8
KIGOMA
Kigoma
1
Kibondo
1
Kasulu
1
JUMLA
 
3
9
KAGERA/ BUKOBA
Bukoba
1
Muleba
1
Biharamulo
1
Ngara
1
Karagwe
1
JUMLA
 
5
10
TANGA
Tanga
1
Muheza
1
Handeni
1
Pangani
1
Korogwe
1
Lushoto
1
JUMLA
 
6
11
SINGIDA
Singida
1
Manyoni
1
Iramba/Kiomboi
1
JUMLA
 
3
12
MTWARA
Mtwara
1
13
MARA
Musoma
1
Tarime
1
Bunda
1
Serengeti
1
JUMLA
 
5
14
RUVUMA (SONGEA)
Songea
1
Tunduru
1
Mbinga
1
Namtumbo
2
JUMLA
 
5
15
SHINYANGA
Shinyanga
1
Kahama
1
Kishapu/Shinyanga
1
JUMLA
 
3
16
RUKWA/SUMBAWANGA
Sumbawanga
1
Nkasi
1
JUMLA
 
2
17
LINDI
Nachigwea
1
Liwale
1
Ruangwa
1
Lindi
1
Kilwa Masoko
1
JUMLA
 
5
18
GEITA
Chato
1
JUMLA
 
1
19
SIMIYU
Bariadi
1
Maswa
1
Meatu
1
JUMLA
 
3
20
NJOMBE
Njombe
1
Ludewa
1
Makete
1
JUMLA
 
3
21
KATAVI
Mpanda
1
JUMLA
 
1
 
JUMLA KUU
74

 

Sifa za kuingilia:-

Kuajiriwa  wahitimu  wa kidato cha IV  waliohudhuria  Mafunzo ya Uhazili  na kufaulu  mtihani wa Uhazili  Hatua ya Tatu. 

Wawe wamefaulu  somo la Hatimkato  ya Kiswahili na Kiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja na  wawe wamepata  mafunzo ya Kompyuta  kutoka chuo chochote kinachotambuliwa  na Serikali na kupata cheti katika programu za  Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail  na Publisher.

 
Kazi za kufanya:-

Katibu Mahsusi  Daraja la III atapangiwa  kufanya kazi Typing pool  au chini  ya Katibu Mahsusi  mwingine mwenye  cheo cha juu  kumzidi  kwenye ofisi  ya Mkuu wa sehemu au kitengo.

 

(i)        Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida

(ii)      Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kushughulikiwa.

(iii)     Kusaidia  kutunza taarifa, kumbukumbu  za matukio, miadi, wageni, tarehe  za vikao  safari za Mkuu wake  na ratiba  ya kazi  zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia  kazi, na kumuarifu Mkuu wake  kwa wakati  unaohitajika.


C.           MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II TGS B – NAFASI 22

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama za Wilaya zilizoainishwa katika Jedwali hapa chini:-



S/N
MKOA
WILAYA
IDADI
1
DAR ES SALAAM
 Ilala
2
 
JUMLA
 
2
2
TABORA
Tabora
2
 
JUMLA
2
3
SHINYANGA
Shinyanga
2
 Bariadi
1
 
JUMLA
3
4
DODOMA
Dodoma
1
 Mpwapwa
1
Bahi
1
 
JUMLA
3
5
MBEYA
 Ludewa
1
Ileje
1
 
JUMLA
2
6
KIGOMA
Kasulu
1
 
JUMLA
1
7
SINGIDA
Manyoni
1
Iramba/Kiomboi
2
 
JUMLA
3
8
MOSHI
Moshi
1
 
JUMLA
1
9
MOROGORO
Mahenge/Ulanga
1
 
JUMLA
1
10
SUMBAWANGA
Sumbawanga
1
 
JUMLA
1
11
MWANZA
Magu
1
 
JUMLA
1
12
IRINGA
Mufindi
1
Kilolo
1
 
JUMLA
2
 
JUMLA KUU
 
22

 

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha sita/nne wenye Diploma ya Sheria kutoka chuo cha Uongozi wa Mahakama waliopata wastani wa alama za ufaulu kuanzia daraja la pili la juu (Upper Second).

  

Kazi za kufanya:-

(i)        Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.

(ii)      Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka

(iii)     Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka Katia reki (file racks/cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.

(iv)     Kunukuu (kurekodi) mwenendo mzima wa kesi na kuweka kumbukumbu sahihi za mashauri yanayosikilizwa na Majaji au Mahakimu.

(v)      Kuhakiki na kuandaa taarifa iliyohakikiwa na kuwasilisha sehemu husika kabla yakutoa nakala kwa Umma.

(vi)     Kufanya kazi nyingine za kiutawala zinazo husu masuala ya kimahakama kama kuwasilisha nyaraka za kisheria Mahakamani na kuangalia muda na siku ya kufanyika kwa kesi husika

(vii)    Kuthibitisha machapisho (transcripts) kwa ajili ya kumbukumbu za ofisi ndani ya muda uliopangwa.

(viii)  Kutunza na kuhifadhi machapisho (transcripts) mahali salama.

(ix)     Kuratibu utoaji wa machapisho (transcripts).

(x)      Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa.


D.    MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA II TGS B - NAFASI 1

Nafasi hii ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa Tanzania.

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wenye cheti cha Mtihani wa traifa wa  kiidato cha IV ambao wamefaulu mafunzo ya Wasidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate Course) yatolewayo ba Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye cheti kinacholingana na hicho.

 
Kazi za kufanya:-

(i)        Kuandikisha wasomaji

(ii)      Kupanga vitabu katika rafu (Shelves)

(iii)     Kuazimisha na kupokea vitabu  vinavyoazimwa

(iv)     Kukarabati vitabu  vilivyochakaa

(v)      Kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wa kituo.


E.           MPOKEZI TGS A – NAFASI – 1

Nafasi hii ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa Tanzania.

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofaulu masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati na Kufuzu mafunzo ya mapokezi na upokeaji simu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali

Kazi za kufanya:-

              (i)          Kupokea wageni na kuwasilisha shida zao

             (ii)          Kutunza na kudumisha usafi wa “ Switchboard” na Ofisi yake,

           (iii)          Kupokea simu kutoka nje na kuzisambaza kwa maafisa mbalimbali Ofisini.

           (iv)          Kupokea simu kutoka “Extension” za ndani na kupiga nje ya ofisi,

             (v)          Kutunza rejesta ya simu zinazopokelewa kutoka nje ya ofisi na zinazopigwa nje ya ofisi.

 

F.            DEREVA DARAJA LA II TGOS A – NAFASI 5

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa Tanzania (1) na Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi (4).

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wenye Cheti cha Baraza la mitihani (NACTE) Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni daraja la “C” ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II (VETA).

Kazi za kufanya:-

i.                     Kuendesha magari ya abiria, na malori,

ii.       Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,

 

G.           MSAIDIZI WA OFISI TGOS A – NAFASI 32

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama za Wilaya zilizoainishwa katika Jedwali hapa chini:-

S/N
KANDA
MAHAKAMA KUU
MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI
IDADI
1
Arusha
1
1
2
2
Manyara
1
1
3
Kilimanjaro
1
1
4
Mwanza
1
1
2
5
Mbeya
1
1
6
Iringa
1
1
2
7
Dodoma
1
1
8
Tabora
1
1
9
Kigoma
1
1
2
10
Kagera/Bukoba
1
1
11
Tanga
1
1
2
12
Morogoro
1
1
13
Singida
1
1
2
14
Mtwara
1
1
2
15
Mara
1
1
16
Ruvuma (Songea)
1
1
2
17
Shinyanga
1
1
18
Rukwa/Sumbawanga
1
1
2
19
Lindi
1
1
20
Geita
1
1
21
Simiyu
1
1
22
Njombe
1
1
23
Katavi
1
1
JUMLA
13
19
32

 

 

Sifa za kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu vizuri katika masomo ya  Kiingereza, Kiswahili na Hisabati.

 

Kazi za kufanya:-

                i.          Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia  bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua na miti na  kusafisha vyoo.

               ii.          Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.

              iii.          Kusambaza barua za Ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa.

              iv.          Kutayarisha chai ya ofisi

               v.          Kupeleka mfuko wa  posta na kuchukua barua kutoka Posta.

              vi.          Kuhakikisha kwamba vifaa vya ofisi vinawekwa sehemu zinazostahili.

            vii.          Kufunga Milango na  Madirisha ya Ofisi wakati wa asubuhi na Jioni na kuyafunga baada ya saa za kazi.

           viii.          Kudurufu barua au machapisho kwenye mashine za kudurufufia.

              ix.          Kuweka katika majalada nakala za barua  zilizochapwa katika  ofisi walizomo.

               x.          Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti kila vinapoharibika.

 

H.           MLINZI TGOS A – NAFASI 45

Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama za Wilaya zilizoainishwa katika Jedwali hapa chini:-



S/N
KANDA
MAHAKAMA KUU
MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI
MAHAKAMA YA WILAYA
IDADI
1
Arusha
1
1
 
2
2
Manyara
 
1
 
1
3
Kilimanjaro
1
1
1
3
4
Mwanza
1
1
 
2
5
Mbeya
1
1
 
2
6
Iringa
1
1
 
2
7
Dodoma
1
1
1
3
8
Tabora
1
1
 
2
9
Kigoma
 
1
1
2
10
Kagera/Bukoba
1
1
 
2
11
Tanga
1
1
 
2
12
Morogoro
 
1
1
2
13
Singida
 
1
 
1
14
Mtwara
1
1
 
2
15
Mara
 
1
1
2
16
Pwani - Kibaha
 
1
1
2
17
Ruvuma (Songea)
1
1
 
2
18
Shinyanga
 
1
1
2
19
Rukwa/Sumbawanga
1
1
 
2
20
Lindi
 
1
 
1
21
Geita
 
1
1
2
22
Simiyu
 
1
 
1
23
Njombe
 
1
1
2
24
Katavi
 
1
 
1
JUMLA
12
24
9
45

 

Sifa za kuingilia:-

Kuajiriwa  wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya mgambo/polisi/ JKT au Mafunzo  ya Zimamoto kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali.

 

Kazi za kufanya:-

                i.        Kuhakikisha kwamba mali yoyote ya ofisi  inayotolewa langoni (nje ya ofisi) ina hati ya idhini.

               ii.       Kuhakikisha kuwa  mali yote  inayoingizwa langoni inazo hati za  uhalali wake.

              iii.       Kulinda usalama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana na usiku.

              iv.       Kuhakikisha kwamba milango na madirisha yote yamefungwa ipasavyo mwisho wa saa za kazi.

               v.       Kuhakikisha kwamba wageni wote wanaoingia katika eneo la ofisi wanaidhini ya kufanya hivyo.

              vi.       Kupambana na majanga yoyote yatakayotokea katika sehemu ya kazi kama vile moto, mafuriko n.k. na kutoa taarifa katika vyombo vinavyohusika kama vile polisi na zimamoto.

            vii.       Kutoa ushauri wa jinsi  ya kuboresha huduma ya ulinzi mahali pa kazi.


Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 2/2/2016 saa 9:30 Alasiri.

 

2.0       Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji na kuambatisha:-

 
-      Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.

-      Ufupisho wa taarifa za mwombaji (CV).

-      Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.

-      Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

 

3.0   Aidha, inasisitizwa kwamba:-

3.1     waombaji wakazi toka maeneo husika na wenye  sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.

3.2     Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi  mwombaji.

3.3     Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao   kwa waajiri wao.

3.4     Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba  waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.

3.5     Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.

3.6     Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili hawata sailiwa

3.7     Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe

 

4.0   Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania, S.L.P. 8391 , DAR ES SALAAM.

 

Imetolewa na ;-

                                   Katibu,

Tume ya Utumishi wa Mahakama,

S.L.P 8391,

DAR ES SALAAM,

TANZANIA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni