Alhamisi, 19 Mei 2016

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKABIDHI GARI KWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI NJOMBE-KANDA YA IRINGA.


Bw. Dionis Kishiwa, Afisa Usafirishaji Mahakama ya Tanzania (kushoto), akimkabidhi gari Bw. Ezra R. Kyando, Afisa Tawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe (kulia) kwa ajili ya kurahishisha uratibu wa shughuli za Kimahakama katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe.
 

Bw. Dionis Kishiwa, Afisa Usafirishaji Mahakama ya Tanzania (kushoto), akimshuhudia Bw. Ezra R. Kyando, Afisa Tawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe, akiwasha gari mara baada ya kumkabidhi gari  hiyo kwa ajili ya matumizi ya Mahakama  Mkoani wa Njombe.

Bw. Ezra R. Kyando, Afisa Tawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe,(kulia), akimshukuru Bw. Dionis Kishiwa, Afisa Usafirishaji Mahakama ya Tanzania (kushoto),wakati wa hafla ya makabidhiano ya gari hiyo Mahakama ya Rufani leo asubuhi. Gari hilo ni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Mahakama Mkoani Njombe.
Afisa Tawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe,(kulia), Bw. Ezra R. Kyando (kushoto), akimkabidhi gari mara baada ya kuwasili Njombe Mhe. Mtendaji Bi. Maria F. Itala (kulia).
 

Hakimu Mkazi Mfawidhi Mhe. Cosmas Hemela(kulia), akipokea gari kutoka kwa Afisa Tawala Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe, Bw. Ezra R. Kyando (kushoto), kwa ajili ya kurahishisha uratibu wa shughuli za Kimahakama katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Njombe.




 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni