![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiu-CQ7SNG3_XEeYPA8zpPZVgZzz6y_AXJXy9MvwcjSLm_RnM9zRR4awOqBJYPvl7mlqmFuOYETwDFTiLPC7dgDzu1VnUW3R0uFaT7ADtle74VoZC-s7Qdmld-s-tvCjNgZitS8N3YX_Gs/s640/1.%255B1%255D.jpg)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na jaji
Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Jaji
Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni