JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
MAHAKAMA
YA TANZANIA
TANGAZO KWA UMMA
KUITWA KAZINI NA KUFUTA
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Katika Magazeti ya Mwananchi (21/05/2016) na
Daily News (21/05/2016 na 26/05/2016) Mtendaji Mkuu wa Mahakama alitangaza
kimakosa kuwaita kazini wafuatao waliofanya usaili na Tume ya Utumishi wa
Mahakama. Hivyo wanatakiwa kutokwenda kuripoti hadi watakapoelekezwa
vinginevyo. Hata hivyo, kwa kuwa wako katika orodha ya akiba, pindi nafasi
zikitokea wataitwa kazini mara moja.
Na.
|
JINA
|
KADA
|
KITUO
|
1
|
Jafari Salum Pangani
|
Msaidizi wa Kumbukumbu II
|
Mahakama ya Wilaya Arusha
|
2
|
Magreth Mathew Kimaro
|
Msaidizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Mufindi
|
3
|
Leonard Salu Lucas
|
Msaidizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Nkasi
|
4
|
Mshauri Iddi Mwijuma
|
Msadizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Mlele
|
5
|
Mvita Ahmad Hamidu
|
Msaidizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Ngara
|
Wafuatao waliachwa kimakosa na sasa
waripoti kazini haraka iwezekanavyo ndani ya siku saba (7) tangu tarehe ya
tangazo hili kama ilivyoonyeshwa hapa chini. Aidha, waende na vyeti vyao halisi
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla
ya ajira rasmi.
Na.
|
JINA
|
KADA
|
KITUO
CHA KAZI
|
MAHALI
PA KURIPOTI
|
1
|
Nassoro Husein Sanga
|
Msaidizi wa Kumbukumbu II
|
Mahakama ya Wilaya Arusha
|
Mtendaji wa Mahakama Arusha
|
2
|
Yohana Ramson Malingoti
|
Msaidizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Mufindi
|
Mtendaji wa Mahakama Iringa
|
3
|
Subira Ramadhani Shamte
|
Msaidizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Nkasi
|
Mtendaji wa Mahakama Sumbawanga
|
4
|
Happiness Damas Kimath
|
Msadizi wa Ofisi
|
Mahakama ya Wilaya Mlele
|
Mtendaji wa Mahakama Katavi
|
Mtendaji Mkuu,
Mahakama ya
Tanzania,
26 Barabara ya
Kivukoni,
S.L.P 9004,
11409
DAR ES SALAAM.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni