Mhandisi wa Mahakama ya Tanzania, Khamadu Kitunzi
akimwonyesha ramani ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Kigamboni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand
Wambali wakati alipotembelea ujenzi huo jana jijini Dar es salaam. Jengo la Mahakama hiyo tayari limeanza kujengwa kwa kutumia Teknolojia ya Moladi. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni