Ijumaa, 15 Julai 2016

JAJI MKUU AENDELEA NA ZIARA MKOANI ARUSHA

Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman leo ameendelea na ziara yake katika Mahakama Kuu kanda ya Arusha. Pichani Jaji Mkuu akisaini kitabu cha wagenoi kwenye ofisi ya Jaji Mfawidhi wa Kanda ya Arusha 
 

Jaji Mkuu akisaliamiana na watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kukagua shughuli za kimahakama kwenye kanda hiyo  
 

Jaji Mkuu akisaliamiana na watumishi wa Mahakama Kuu kanda ya Arusha mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kukagua shughuli za kimahakama kwenye kanda hiyo  
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni