Jumamosi, 16 Julai 2016

WATUMISHI WA MAHAKAMA WAENDELEA NA MAFUNZO DODOMA

 Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakimsikiliza Afisa kutoka Ofisi ya Rais Utekelezaji (PDB) Joy Mwalugaja akiendesha Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania leo mjini Dodoma  


Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano wa Mahakama ya Tanzania, Nurdin Ndimbe akielezea jambo wakati wa Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania yanayoendelea mjini Dodoma 

 Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala wa Mahakama ya Tanzania, Wanyenda Kutta akielezea jambo leo katika mafunzo Kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania yanayoendelea mjini Dodoma


 Afisa kutoka Mahakama ya Tanzania, Geofrey Mashafi akielezea jambo kwa watumishi wa Mahakama katika mafunzo yanayoendelea mjini Dodoma

Baadhi ya Watumishi wa Mahakama wanaohudhuria Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika mafunzo hayo mjini Dodoma
 Baadhi ya Watumishi wa Mahakama wanaohudhuria Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika mafunzo hayo mjini Dodoma

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni