Bw. Juma Kunga, Afisa Ugavi, Mahakama ya Tanzania (kulia) akikabidhi baiskeli hizo kwa Bw. Simon Kasapira (kushoto), Afisa Utumishi-Kanda ya Moshi.
Baadhi ya baiskeli hizo kati ya 34 zilizowasilishwa Mahakama Kanda ya Moshi kwa ajili ya kurahisisha shughuli za usafirishaji kama kuwasilisha samansi n.k
Miongoni mwa Baiskeli hizo 66, baiskeli 34 ni za Mahakama ya Moshi na Baiskeli 32 ni za Mahakama- Arusha.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni