Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Mohamed Chande Othman (wa pili kushoto) akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama, Coelestine Rutasindana alipotembelea kukagua shughuli za ukararabati wa Jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Mheshimiwa Ferdinand Wambali. Mahakama hiyo inatarajiwa kuanza kazi zake hivi karibuni |
Hili ndilo jengo litakalotumika kuanzisha Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi lililopo katika Shule ya Sheria (Law School) Sinza jijini Dar es Salaam |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni