Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanaohudhuria Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati wakimsikiliza Mkufunzi (Hayupo Pichani) leo ambapo Mafunzo hayo yanaendelea katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma
Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanaohudhuria Mafunzo
kuhusu Mpango Mkakati wakimsikiliza Mkufunzi leo ambapo
Mafunzo hayo yanaendelea katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma
Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanaohudhuria Mafunzo
kuhusu Mpango Mkakati wakimsikiliza Mkufunzi (Hayupo Pichani) leo ambapo
Mafunzo hayo yanaendelea katika Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma
Baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanaohudhuria Mafunzo
kuhusu Mpango Mkakati wakiwa katika vikundi ili kuendelea kuujadili Mpango Mkakati katika Mafunzo yanayoendelea kwenye Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi wa TEHAMA wa Mahakama ya Tanzania, Machumu Essaba akiwaelezea jambo baadhi ya watumishi wa Mahakama ya Tanzania (hawapo Pichani) wanaohudhuria Mafunzo kuhusu Mpango Mkakati katika Ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni