Jumanne, 19 Julai 2016

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WADAU WAKE KUJADILI MPANGO MKAKATI

 Watumishi wa Mahakama ya Tanzania pamoja na wadau wakimsikiliza Mgeni Rasmi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (hayupo Pichani) wakati akifungua Mkutano kati ya Mahakama na Wadau wake kuhusu Mpango Mkakati wa Mhimili huo leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wadau wa Mahakama waliohudhuria Mkutano huo ni Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa-TAKUKURU, Mkemia Mkuu wa Serikali, Polisi Makao Makuu, Baraza la Habari Tanzania-MCT, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka, TBA, Ofisi ya Nyaraka za Taifa, Tume ya Usuluhishi wa Migogoro na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- TAMISEMI 

 Baadhi ya Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakimsikiliza mgeni Rasmi Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko( Hayupo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa kujadili utekelezaji wa Mpango Mkakati kati ya Mahakama ya Tanzania na wadau wake leo mjini Dodoma

 Baadhi ya Wadau wa Mahakama ya Tanzania wakifuatilia jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano kati yao na Mahakama ya Tanzania kuhusu Utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mahakama leo mjini Dodoma
 
 Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Katarina Revokati (kushoto kwake), Msajili wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa John Kahyoza (anayefuatia) na Mkurugenzi wa Mazingira ya Biashara, Neema Ndunguru (mwisho kulia) wakati wa Mkutano wa Mahakama ya Tanzania na wadau wake kuhusu Mpango Mkakati leo mjini Dodoma
 Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mheshimiwa Katarina Revokati (kushoto kwake), Msajili wa Mahakama ya Rufani Mheshimiwa John Kahyoza (kulia) pamoja na watumishi wengine wa Mahakama wakati wa Mkutano wa Mahakama ya Tanzania na wadau wake kuhusu Mpango Mkakati leo mjini Dodoma
  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja watumishi wa Mahakama ya Tanzania wanaotoka Makao Makuu ya mahakama jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mahakama ya Tanzania na wadau wake kuhusu Mpango Mkakati leo mjini Dodoma
  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Ofisi ya Rais Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (Presidential Delivery Burea-PDB) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mahakama ya Tanzania na wadau wake kuhusu Mpango Mkakati leo mjini Dodoma

  Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Dodoma Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Tanzania wakati wa Mkutano wa Mahakama ya Tanzania na wadau wake kuhusu Mpango Mkakati leo mjini Dodoma

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni