Muonekano wa magari yaliyokabidhiwa kwa
Waheshimiwa Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Regina Rweyemamu na Mhe.
Razia H. Sheikh.
Mhe. Jaji Rweyemamu akiwa katika gari
yake mara baada ya kukabidhiwa rasmi mapema wiki hii.
Mhe. Jaji Sheikh akiwa katika gari yake
mara baada ya kukabidhiwa rasmi.
Waheshimiwa Majaji Wastaafu (wa tano
kushoto na wa nne kulia) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kukabidhiwa rasmi magari yao na Mkurugenzi Msaidizi-Utawala, Bibi. Wanyenda
Kutta. (wa nne kushoto).
i
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni