Jumatatu, 3 Oktoba 2016

BAADHI YA WAJUMBE WA TEHAMA NA TAKWIMU WAFANYA KIKAO LEO.




Wajumbe wa Kamati ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Takwimu kutoka Mahakama ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao chao kuhusu Teknolojia, leo katika Maktaba Kuu iliyopo jengo la Mahakama ya Rufani jijini Dar es salaam.  

 

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Teknolojia ya Habari na  Mawasiliano(TEHAMA)  na Takwimu kutoka Mahakama ya Tanzania wakiwa katika kikao kinachohusu masuala hayo leo kwenye maktaba ya Mahakama Kuu.Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  kutoka Mahakama ya Tanzania,Essaba Machumu.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni