Jumatano, 19 Oktoba 2016

PICHA MBALIMBALI ZA MKUTANO WA MAJAJI JIJINI ARUSHA


Majaji Wafawidhi na Majaji waliosikiliza kesi za Uchaguzi Mkuu wa 2015 wakiwa katika Mkutano wao kujadili usikilizwaji wa kesi hizo pamoja na changamoto za kesi hizo katika Mkutano ulioanza leo jijini Arusha


Baadhi ya Majaji Wafawidhi na Majaji waliosikiliza kesi za Uchaguzi Mkuu wa 2015 wakiwa katika Mkutano wao kujadili usikilizwaji wa kesi hizo pamoja na changamoto za kesi hizo katika Mkutano ulioanza leo jijini Arusha. Mbele katikati ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Kati Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko. 


Baadhi ya Majaji wakiwa katika Mkutano wao leo jijini Arusha 

 
Baadhi ya Majaji wakiwa katika Mkutano wao leo jijini Arusha 

 Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Ferdinand Wambali akifungua Mkutano 
wa Majaji Wafawidhi na Majaji waliosikiliza kesi za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kujadili usikilizwaji wa kesi hizo pamoja na changamoto za kesi hizo. Mkutano huo wa siku nne umeanza  leo jijini Arusha.

 Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa-UNDP, Godfrey Mulisa akizungumza kwenye Nkutano huo    

 Jaji Kiongozi Mheshimiwa Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya pamoja na Majaji Wafawidhi wa Mahakama Kuu nchini mara baada ya kufungua Mkutano wao leo jijini Arusha.


Jaji Kiongozi Mheshimiwa Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Mahakamu, Watendaji wa Mahakama pamoja na Wasajili mara baada ya kufungua Mkutano wao leo jijini Arusha.


Jaji Kiongozi Mheshimiwa Ferdinand Wambali akiwa katika picha ya Wajumbe wote wa Mkutano mara baada ya kufungua Mkutano wao leo jijini Arusha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni