Jumatano, 2 Novemba 2016

JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU KANDA YA SUMBAWANGA, ATEMBELEA MAKAZI YA WAKIMBIZI, YALIYOPO MKOA WA KATAVI.





Jaji Mfawidhi wa  Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga , Mhe. John Mgetta(aliyesimama) akizungumza jambo jana  wakati alipofanya  ziara  katika  gereza  la mkoa wa Katavi,ambapo alitembelea na kuona mlundikano wa mahabusu.



Baadhi ya viongozi wa  Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala linaloshughulikia masuala  ya Wakimbizi (UNHCR)wakiwa kwenye picha ya pamoja na Uongozi wa Mahakama ya Sumbawanga  katika makazi ya wakimbizi yaliyopo kwenye, mkoa wa Katavi, wilaya ya Tanganyika ,kata ya Mishamo mara baada ya mazungumzo baina ya pande hizo mbili yaliyofanyika jana.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni