Ijumaa, 4 Novemba 2016

MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA MAKOSA YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI YAANZA KAZI




Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa  na Uhujumu Uchumi jana ilianza kufanya kazi rasmi kwa kupokea maombi ya ya dhamana ya kesi ya Rushwa na Uhujumu Uchumu namba 45, ya mwaka 2016. Kesi hiyo namba 01 kutoka Mahakama Kuu ambayo ilifunguliwa  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliyopo jijini Dar es  Salaam. Ombi  hilo la  dhamana  la  kesi hiyo litatolewa  maamuzi Novemba 14,mwaka huu. 



Mwonekano wa sehemu ya jengo la Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi 



Wananchi wakionekana kutoka ndani ya jengo la Mahakama hiyo kwa ajili ya huduma mbalimbali hali inayoonesha kuanza kazi rasmi kwa Mahakama hiyo  

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni