Ijumaa, 4 Novemba 2016

JAJI WA MAHAKAMA KUU TABORA AFANYA ZIARA KIGOMA




Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Mheshimiwa David Mrango akisalimiana na Watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma mara baada ya kuwasili kwa ziara ya kukagua shughuli za utendaji kazi wa Mahakama. 


Jaji wa Mahakama KuuKanda ya Tabora Mheshimiwa David Mrango akisalimiaama na Watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya kukagua shughuli za utendaji kazi wa Mahakama kanda ya Tabora



Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora Mheshimiwa David Mrango akizungumza na watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma ili kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili viongozi hao. Mheshimiwa Mrango aliwaasa kuwa na matumizi mazuri ya Rasilimali za ofisi na kuwataka kuwa na Nidhamu na Mshikamano katika kutoa huduma kwa usawa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni