Alhamisi, 17 Novemba 2016

MAFUNZO KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YAENDELEA MJINI DODOMA


Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika mafunzo ya utunzaji wa Kumbukumbu na Huduma kwa Mteja yanayoendelea mjini Dodoma. 


Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika mafunzo ya utunzaji wa Kumbukumbu na Huduma kwa Mteja yanayoendelea mjini Dodoma. 

Watumishi wa Mahakama ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja hivi karibuni mara baada ya kutembelea Kituo cha utunzaji wa Nyaraka za Serikali na kujifunza taratibu sahihi za utunzaji wa nyaraka. Utunzaji wa Nyaraka ni moja ya Changamoto zilizopo katika Mahakama ya Tanzania. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni