Jengo la Mahakama ya
Mwanzo Mlowo lililopo wilayani Mbozi likiwa katika hatua za mwanzo za ukarabati
hivi sasa baada ya kuunguzwa kwa moto na baadhi ya wananchi wenye hasira wakati
wakisubiria matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015.
Katika ukarabati huo, chumba kimoja kwa ajili ya Hakimu kimeongezwa.
Sehemu ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Mlowo lililopo wilayani Mbozi likiwa katika hatua za mwanzo za ukarabati
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni